Wolfgang Paul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ikionyesha kaburi la Wolfgang Paul
Picha ikionyesha kaburi la Wolfgang Paul

Wolfgang Paul (10 Agosti 19137 Desemba 1993) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1989, pamoja na Hans Georg Dehmelt na Norman Ramsey alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wolfgang Paul kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.