Nenda kwa yaliyomo

Connecticut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Connecticut
Jimbo
Kauli Mbiu
"Qui transtulit sustinet"(kilatini)
Qui transtulit sustinet (Latin)(sw)
Wimbo wa taifa
Yankee Doodle
Ramani ya
Ramani ya
Eneo la Jimbo la Connecticut nchini Marekani.
Nchi Marekani
Mwaka wa Kujiunga January 9, 1788 (ya 5)
Mji Mkuu Bridgeport
Jiji kubwa Hartford
Lugha Zinazozungumzwa
Utaifa Connecticuter (en)
Serikali
Gavana Ned Lamont (D)
Naibu Gavana Susan Bysiewicz (D)
Seneta Richard Blumenthal (D) Chris Murphy (D)
Eneo
Jumla 12,559 km²
Ardhi 14,356 km²
Idadi ya Watu
Kadirio increase 3,675,069


Pato la Taifa (2022)
Jumla increase $363.416 Bilioni (ya 7)
Kwa kila mtu increase 100,235
Kiashiria cha
Maendeleo ya Watu
(2022)
0.950 (6)
Maendeleo ya Juu Sana
Mapato ya Kati
ya Kaya (2023)
$91,700 (6)
Eneo la saa UTC– 05:00 (EST)
Tovuti 🔗ct.gov
Sehemu ya Jimbo la Connecticut

Connecticut ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Imepakana na Massachusetts, Rhode Island na New York. Iko kwenye mwanbao wa Atlantiki. Mji mkuu ni Hartford na mji mkubwa ni Bridgeport. Jimbo lina wakazi 3,501,252 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 14,356.

Connecticut ilikuwa kati ya majimbo zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu 1778.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Connecticut kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.