Nenda kwa yaliyomo

Washington

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Washington
Jimbo
Kauli Mbiu
"Alki" (en)
"Mbele ya Wakati" (sw)
Wimbo wa taifa
"Washington, my home"
Ramani ya
Ramani ya
Eneo la Jimbo la Washington nchini Marekani.
Nchi Marekani
Mji Mkuu Olympia
Jiji kubwa Seattle
Ilijiunga 11 Novemba 1889 (ya 42)
Lugha rasmi Kiingereza (Hali halisi)
Utaifa Washingtonian (en)
Serikali
Gavana Bob Ferguson (D)
Naibu Gavana Denny Heck (D)
Eneo
Jumla 184,827 km²
Ardhi 172,119 km²
Idadi ya Watu
Kadirio 7,951,150
Pato la Taifa (2023)
Jumla $850.5 Bilioni (ya 10)
Kwa kila mtu 108,568
HDI (2022) 0.956 (2)
Maendeleo ya Juu Sana
Mapato ya Kati
ya Kaya (2023)
$94,600 (7)
Majira ya saa UTC–08:00 (PST)
Tovuti
🔗wa.gov

Washington ni kati ya majimbo ya kujitawala ya Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini magharibi ya Marekani bara. Imepakana na Oregon, Idaho na British Columbia katika Kanada. Upande wa magharibi kuna pwani la Pasifiki.

Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya rais wa kwanza wa Marekani George Washington.

Mji mkuu wa jimbo ni Olympia. Hii ni mji mdogo. Miji miwili mikubwa ya jimbo ni Seattle na Spokane. Eneo la jimbo ni 184,824 km² na idadi ya wakazi inazidi milioni sita.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Washington kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.