Nenda kwa yaliyomo

Delaware

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Delaware
State of Delaware
Jimbo
Kauli Mbiu
"Liberty and Independence" (Uhuru na Kujitegemea)
Ramani ya
Ramani ya
Eneo la Delaware katika Marekani
Nchi Marekani
Mji Mkuu Dover
Jiji kubwa Wilmington
Ilijiunga 7 Desemba, 1787 (Miaka 237 iliyopita) (Jimbo la 1)
Lugha rasmi Kiingereza
Lugha zinazozungumzwa 87.0% Kiingereza
7.5% Kihispania
1.2% Kichina
Utaifa Mdelaware Delawarean (en)
Serikali
Gavana John Carney
Naibu gavana Bethany Hall-Long
Eneo
Jumla 6,446 km²
Ardhi 5,047 km²
Maji 1,399 (0.00%)
Idadi ya Watu
Kadirio increase 1,018,396
Pato la Taifa (2024)
Jumla increase 102.401 bilioni (ya 39)
Kwa kila mtu increase $98,058
HDI (2022) 0.910 (ya 25)
Maendeleo ya Juu Sana
Mapato ya Kati
ya Kaya (2023)
$81,400 (22)
Majira ya saa UTC-5 (EST), UTC-4 (EDT)
Tovuti
🔗delaware.gov
Ramani ya Delaware

Delaware ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko kwenye pwani ya Atlantiki upande wa mashariki wa Marekani bara. Imepakana na majimbo ya Pennsylvania, Maryland na kwa kilomita chache pia na New Jersey.

Mji mkuu ni Dover lakini mji mkubwa ni Wilmington.

Jina la jimbo linatokana na mto Delaware na hori ya Delaware ambavyo vyote viliitwa kwa heshima ya kabaila Mwingereza De La Warr mnamo mwaka 1600.

Delaware ni jimbo dogo lenye eneo la km² 6,452 na wakazi 783,600 pekee. Kati ya majimbo ya Marekani ni jimbo lenye mapato ya juu kwa kila raia. Sheria zake za kodi ya mapato ni nafuu, hivyo makampuni mengi yamepeleka ofisi zake hapa. Vinginyevyo uzalishaji ni hasa mazao ya kilimo pamoja na ufugaji wa kuku.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Ilianzishwa kama kituo cha biashara cha Uswidi mwaka 1638 iliyovamiwa na Uholanzi na kuwa baadaye koloni la Uingereza tangu mwaka 1664. Delaware ilikuwa koloni la kwanza kukubali katiba mpya ya Maungano ya Madola ya Amerika baada ya uasi wa makoloni 13 ya Uingereza katika Amerika ya Kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Delaware kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.