Orodha ya majimbo ya Marekani
Mandhari
(Elekezwa kutoka Majimbo ya Marekani)
Majimbo ya Marekani ni jumla la madola 50 ya Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani yanayojitawala katika mambo mengi ya ndani.
![]()
Maeneo mengine
[hariri | hariri chanzo]Majimbo haya 50 yako pamoja na maeneo mengine yasiyo na cheo cha jimbo kamili lakini yapo moja kwa moja chini ya shirikisho kwenye ngazi ya kitaifa. Maneo haya ni pamoja na
- 51. Samoa ya Marekani
- 52. Guam
- 53. Visiwa vya Mariana ya Kaskazini
- 54. Puerto Rico
- 55. Visiwa vya Virgin vya Marekani
- 56 Mkoa wa Columbia penye mji mkuu Washington DC uko kati ya Maryland (no. 20) na Virginia (no. 46).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ New York City ni mji mkubwa wa Marekani.