Kansas City, Missouri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Jiji la Kansas City
2016
2016
Jiji la Kansas City is located in Marekani
Jiji la Kansas City
Jiji la Kansas City
Mahali pa mji wa Kansas City katika Marekani
Anwani ya kijiografia: 39°4′35″N 94°33′19″W / 39.07639°N 94.55528°W / 39.07639; -94.55528
Nchi Marekani
Jimbo Missouri
Wilaya Jackson
Clay
Platte
Cass
Idadi ya wakazi
 - 475,830
Tovuti: www.kcmo.org
Kansas City

Kansas City ni mji wa Marekani katika jimbo la Missouri. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 277 kutoka juu ya usawa wa bahari.