Nenda kwa yaliyomo

Montpelier, Vermont

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mji wa Montpelier, Vermont


Montpelier
Montpelier is located in Marekani
Montpelier
Montpelier

Mahali pa mji wa Montpelier katika Marekani

Majiranukta: 44°15′59″N 72°34′19″W / 44.26639°N 72.57194°W / 44.26639; -72.57194
Nchi Marekani
Jimbo Vermont
Wilaya Washington
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 8,035
Tovuti:  www.montpelier-vt.org

Montpelier ndiyo mji mkuu katika jimbo la Vermont. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 8000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 182 kutoka juu ya usawa wa bahari.



Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Montpelier, Vermont kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.