Nenda kwa yaliyomo

Jackson, Mississippi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Jackson, Mississippi
Jackson

Bendera
Nchi Marekani
Jimbo Mississippi
Wilaya Hinds
Madison
Rankin
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 175,710
Tovuti:  www.jacksonms.gov
Ukumbi wa Jackson
Ramani ya Mississippi na Jackson

Jackson ndiyo mji mkuu katika jimbo la Mississippi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 176,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 85 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jackson, Mississippi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.