Des Moines, Iowa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Des Moines, Iowa






Des Moines, Iowa

Bendera
Des Moines, Iowa is located in Marekani
Des Moines, Iowa
Des Moines, Iowa

Mahali pa mji wa Des Moines katika Marekani

Majiranukta: 41°20′27″N 93°37′15″W / 41.34083°N 93.62083°W / 41.34083; -93.62083
Nchi Marekani
Jimbo Iowa
Tovuti:  www.dmgov.org
Mahali pa Des Moines katika Iowa na Polk County

Des Moines ni jina la mji mkuu wa jimbo la Iowa nchini Marekani. Mji wa Des Moines ulianzishwa mnamo mwaka wa 1843 mahali ambapo Mto Raccoon na Mto Des Moines inapokutana. Mji wa Des Moines umekuwa mji mkuu wa Iowa mnamo mwaka wa 1857.

Leo hii mji wa Des Moines umekuwa mji mkubwa kabisa katika jimbo hili la Iowa likiwa na wakazi takriban 194,163 mnamo mwaka wa 2005.

Ikulu ya jimbo la Iowa

Des Moines ina makampuni meengi ya bima huko mjini kwake.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Coordinates: 41°20′27″N 93°37′15″W / 41.34083°N 93.62083°W / 41.34083; -93.62083

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Des Moines, Iowa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.