Cheyenne, Wyoming

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Cheyenne
Cheyenne is located in Marekani
Cheyenne
Cheyenne

Mahali pa Cheyenne katika Marekani

Majiranukta: 41°08′44″N 104°48′07″W / 41.14556°N 104.80194°W / 41.14556; -104.80194
Nchi Marekani
Jimbo Wyoming
Wilaya Laramie
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 53,011
Tovuti:  www.CheyenneCity.org
Karibu Cheyenne

Cheyenne ndiyo mji mkuu katika jimbo la Wyoming. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 82,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1,848 kutoka juu ya usawa wa bahari.Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cheyenne, Wyoming kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.