Nenda kwa yaliyomo

Atlanta, Georgia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Atlanta, Georgia


Jiji la Atlanta

Bendera
Jiji la Atlanta is located in Marekani
Jiji la Atlanta
Jiji la Atlanta

Mahali pa Atlanta katika Marekani

Majiranukta: 33°45′18″N 84°23′24″W / 33.75500°N 84.39000°W / 33.75500; -84.39000
Nchi Marekani
Jimbo Georgia
Wilaya Fulton
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 519,150
Tovuti:  www.AtlantaGA.gov

Atlanta ndiyo mji mkuu wa jimbo la Georgia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 5.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 320 juu ya usawa wa bahari.


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Atlanta, Georgia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.