Iowa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muhuri wa jimbo la Iowa

|jina_rasmi = Iowa |picha_ya_satelite = Map of USA highlighting Iowa.png |maelezo_ya_picha = Mahali pa Iowa katika Marekani |picha_ya_bendera = Flag of Iowa.svg |ukubwa_ya_bendera = 100px |picha_ya_nembo = Iowa-StateSeal.svg |ukubwa_ya_nembo = 80px |settlement_type = Jimbo |native_name = |nickname = |subdivision_type = Nchi |subdivision_name = Bendera ya Marekani Marekani |subdivision_type1 = |subdivision_name1 = |subdivision_type2 = Mji mkuu |subdivision_name2 = Des Moines |area_total_km2 = 145743 |area_land_km2 = 144701 |area_water_km2 = 1042 |idadi_ya_wakazi_kwa_mwaka_wa = |population_note = |wakazi_kwa_ujumla = |website = http://www.iowa.gov/ }} Iowa ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika magharibi ya kati ya Marekani bara. Imepakana na Minnesota, Nebraska, South Dakota, Missouri na Illinois. Mto Missisippi ni mpaka wake upande wa mashariki kutazama Wisconsin na Illinois; mto Missouri ni mpapa wake upande magharibi kutazama Nebraska. Imekuwa jimbo la Marekani tangu 1846.

Mji mkuu wa jimbo na pia mji mkubwa ni Des Moines. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,926,324 wanaokalia eneo la 145,743 km² ambalo ni hasa tambarare lenye rutba.

Economy[hariri | hariri chanzo]

Shamba la Iowa

Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi na kuna mashamba makubwa Iowa. Mahindi yanayolimwa hasa pamoja na soya yanalisha nguruwe na ng'ombe. Sehemu ya mazao hutumiwa kwa kutengeneza petroli ya ethanol.


Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iowa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.