Fargo, North Dakota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Fargo, North Dakota


Fargo
Nchi Marekani
Jimbo North Dakota
Wilaya Cass
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 99,200

Fargo ndiyo mji mkubwa jimboni la North Dakota. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 99,200 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 98.3 km².Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fargo, North Dakota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.