Las Vegas, Nevada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Las Vegas, Nevada
Jiji la Las Vegas

Bendera

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Marekani" does not exist.Mahali pa mji wa Las Vegas katika Marekani

Majiranukta: 36°11′39″N 115°13′19″W / 36.19417°N 115.22194°W / 36.19417; -115.22194
Nchi Marekani
Jimbo Nevada
Wilaya Clark
Idadi ya wakazi
 - 558,880

Las Vegas ni mji wa Marekani katika jimbo la Nevada. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.8 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 610 kutoka juu ya usawa wa bahari. Pia ni mji ambao watu wengi hupenda kwenda, kwa kuwa ni mji wa starehe.

Flag USA template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Las Vegas, Nevada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.