Nenda kwa yaliyomo

New York (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la New York
New york state (en)
Jimbo
Kauli Mbiu
Excelsior (Kilatini)
Daima Juu (sw)
Ever upward
Ramani ya
Ramani ya
Eneo la New York Marekani.
Nchi Marekani
Mji Mkuu Albany
Jiji kubwa New York
Ilijiunga Julai 26, 1788 (11)
Lugha Zinazozungumzwa Kiingereza 69.6%

Kihispania 15.2%
Kichina 3.1%

Kitagalog 2.5%
Utaifa New yorker (en)
Serikali
Gavana Kathy Hochul (D)
Naibu Gavana Antonio Delgado (D)
Eneo
Jumla 141298 km²
Ardhi 122057 km²
Maji 19240 (13.62%)
Idadi ya Watu
Kadirio 19,867,248
Pato la Taifa (2022)
Jumla $2.28 Trillioni (ya 3)
Kwa kila mtu 117,332
HDI (2022) 0.937 (13)
Maendeleo ya Juu Sana
Mapato ya Kati
ya Kaya (2023)
$82,100 (14)
Majira ya saa UTC– 05:00 (EST
Tovuti
🔗ny.gov

Jimbo la New York, ni jimbo lililoko kaskazini-mashariki mwa Marekani. Linapakana na New England upande wa mashariki, Canada upande wa kaskazini, na Pennsylvania na New Jersey upande wa kusini, na eneo lake linaenea mpaka Bahari ya Atlantiki na Maziwa Makuu. New York ni jimbo la nne kwa idadi ya watu nchini Marekani, likiwa na takriban wakazi milioni 20, na jimbo la 27 kwa ukubwa kwa eneo, likiwa na jumla ya eneo la maili za mraba 54,556 (kilomita za mraba 141,300).


Mji mkuu ni Albany lakini mji mkubwa ni New York.

Jimbo lina wakazi 19,254,630 kwenye eneo la 141,205 km².

Mto mkubwa ni Mto Hudson.

Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Muungano wa Madola ya Amerika.

Demografia

[hariri | hariri chanzo]

Idadi ya Watu

[hariri | hariri chanzo]
MwakaIdadi ya Watu
1790340,120
1800589,051
1810959,049
18201,372,812
18301,918,608
18402,428,921
18503,097,394
18603,880,735
18704,382,759
18805,082,871
18906,003,174
19007,268,894
19109,113,614
192010,385,227
193012,588,066
194013,479,142
195014,830,192
196016,782,304
197018,236,967
198017,558,072
199017,990,455
200018,976,457
201019,378,102
202020,201,249
2024 (Makadirio)19,867,248

Chanzo: [1] [2]

Msongamano katika Jimbo la New York

[hariri | hariri chanzo]
Kati ya wakazi milioni 19.5 wa jimbo la New York, milioni 11, sawa na asilimia 56, wako katika Jiji la New York au Kisiwa cha Long Island

New York census data kutoka Factfinder.census.gov Archived 2020-02-12 at Archive.today

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

Alabama Alaska Arizona Arkansas California Colorado Connecticut Delaware Florida Georgia Hawaii Idaho Illinois Indiana Iowa Kansas Kentucky Louisiana Maine Maryland Massachusetts Michigan Minnesota Mississippi Missouri Montana Nebraska Nevada New Hampshire New Jersey New Mexico New York North Carolina North Dakota Ohio Oklahoma Oregon Pennsylvania Rhode Island South Carolina South Dakota Tennessee Texas Utah Vermont Virginia Washington West Virginia Wisconsin Wyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya New York bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu New York (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Historical Population Change Data (1910–2020)". Census.gov. United States Census Bureau. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 28 Januari 2025.
  2. "New York QuickFacts". Census.gov. United States Census Bureau. Iliwekwa mnamo 28 Januari 2025.