Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917 ambapo iliitwa Tuzo ya Pulitzer ya Riwaya (hadi 1947). Tuzo ya Bunilizi humheshimu mwandishi Mwarekani aliyetoa andiko la bunilizi katika mwaka uliopita.

Kuanzia 1980, wagombea watatu wa mwisho walikuwa hutangazwa, yaani mshindi mkuu pamoja na mshindi wa pili na wa tatu.

Washindi[hariri | hariri chanzo]

Katika miaka 31 ya kwanza, chini ya jina la Tuzo ya Riwaya, tuzo ilitolewa mara 27; katika miaka 69 tangu pale hadi 2016, chini ya jina la Tuzo ya Biunilizi, ilitolewa mara 62. Maana yake, hakuna tuzo katika miaka 11, na hakuna kugawanya tuzo kati ya waandishi wawili. Waandishi watatu wametuzwa Tuzo hiyo mara mbili: Booth Tarkington (1919, 1922), William Faulkner (1955, 1963), na John Updike (1982, 1991).

Miaka ya 1910[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1920[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1930[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1940[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1950[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1960[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1970[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1980[hariri | hariri chanzo]

Kuanzia hapo, kunatajwa mshindi pamoja na wagombea wawili wengine wa mwisho.

Miaka ya 1990[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 2000[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 2010[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

[1]

  1. http://www.pulitzer.org/winners/viet-thanh-nguyen