Norman Mailer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Norman Mailer, 1948

Norman Kingsley Mailer (31 Januari 192310 Novemba 2007) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1980, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Executioner's Song. Pia, kitabu chake "Armies of the Night" kilimpatia Tuzo ya Pulitzer kwa jumla isiyo bunilizi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Norman Mailer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.