Jhumpa Lahiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jhumpa Lahiri

Nilanjana Sudeshna “Jhumpa” Lahiri (amezaliwa 11 Julai 1967) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani.

Mwaka wa 2000 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Interpreter of Maladies.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jhumpa Lahiri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.