Paul Harding (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paul Harding (amezaliwa 1967) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2010, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Tinkers.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Harding (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.