Saul Bellow
Mandhari
Saul Bellow (10 Juni 1915 – 5 Aprili 2005) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Kanada lakini. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1976 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa ajili ya riwaya yake "Kipaji cha Humboldt" (kwa Kiingereza Humboldt's Gift) iliyotolewa mwaka wa 1975. Mwaka uleule wa 1976 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saul Bellow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |