Robert Penn Warren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Penn Warren

Amezaliwa 24 Aprili 1904
Kentucky, Marekani
Amekufa 15 Septemba 1989
Vermont, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi, Mshairi

Robert Penn Warren (24 Aprili 190515 Septemba 1989) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1947, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake All the King's Men ("Wanaume wote wa Mfalme"). Kwa mashairi yake, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mara mbili, miaka ya 1958 na 1979.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Penn Warren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.