Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo ya Pulitzer

Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ilitolewa kuanzia 1922 lakini kulikuwa na tuzo maalumu kabla ya hapo.

Tuzo maalumu za 1918 na 1919[hariri | hariri chanzo]

Kupitia kwa hiba kutoka “Shirika la Ushairi” (Kiing. The Poetry Society), wasia wa Pulitzer uliweza kutoa tuzo maalumu kwa ushairi miaka ya 1918 na 1919. Waliotuzwa ni wafuatao:

Washindi[hariri | hariri chanzo]

Katika miaka 92 hadi 2013, Tuzo ya Ushairi ilitolewa mara 92; kulikuwa na washindi wawili mwaka wa 2008, na hakuwa na tuzo 1946. Kulikuwa na mashairi mbalimbali waliotuzwa zaidi ya mara moja tu:

Miaka ya 1920[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1930[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1940[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1950[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1960[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1970[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1980[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 1990[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 2000[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya 2010[hariri | hariri chanzo]