Nenda kwa yaliyomo

Anne Sexton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anne Sexton (9 Novemba 19284 Oktoba 1974) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1967 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anne Sexton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.