Nenda kwa yaliyomo

9 Novemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 9 Novemba ni siku ya 313 ya mwaka (ya 314 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 52.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Kutabaruku Kanisa Kuu la Roma, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Ursino wa Bourges, Agripini wa Napoli, Eustolia na Sopatra, Elizabeti wa Utatu n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 9 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.