Har Khorana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Har Gobind Khorana

Har Gobind Khorana (9 Januari, 1922 - 9 Novemba, 2011) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uhindi. Baadaye alihamia Marekani. Pia alifanya kazi nchini mbalimbali kama Uingereza, Uswisi na Kanada. Hasa alichunguza usanisi wa protini ndani ya mwili wa binadamu. Mwaka wa 1968, pamoja na Robert Holley na Marshall Nirenberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Har Khorana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.