27 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Novemba ni siku ya 331 ya mwaka (ya 332 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 34.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1857 - Charles Sherrington, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932
- 1903 - Lars Onsager, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1968
- 1909 - James Agee, mwandishi kutoka Marekani
- 1940 - Bruce Lee, mtaalamu wa Kung Fu na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1942 - Jimi Hendrix, mpiga gitaa kutoka Marekani
- 1965 - Peter Kenneth, mwanasiasa nchini Kenya
- 1973 - Lutricia McNea, mwanamuziki wa Marekani
- 1976 - Jean Grae, mwanamuziki wa Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 511 - Klovis I, mfalme wa Wafaranki
- 1953 - Eugene O'Neill, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1936
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fakundi na Primitivi, Laveri wa Grumento, Valeriani wa Aquileia, Yakobo Mkatwakatwa, Masimo wa Riez, Vijili wa Salzburg n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |