Laveri wa Grumento
Mandhari
Laveri wa Grumento (pia: Laverius, Laverio, Laberio, Laviero; alifariki Grumento, leo katika mkoa wa Basilicata, Italia Kusini, 312) alikuwa askari aliyefia imani ya Kikristo aliyokuwa ameitangaza sehemu mbalimbali[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Novemba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/79460
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-10. Iliwekwa mnamo 2020-11-26.
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |