Jimi Hendrix

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimi Hendrix, amezaliwa kama James Marshall Hendrix (mnamo 27 Novemba 1942 - 18 Septemba 1970) alikuwa mpiga gitaa maarufu kutoka nchini Marekani. Hendrix hufikiriwa kama mwanamuziki wa kuigwa katika historia ya muziki wa rock and roll. Baada ya mafanikio yake nchini Uingereza, akaja kuwa almaarufu dunia nzima baada ya kutumbuiza katika sikukuu za muziki wa pop za Monterey kunako mwaka wa 1967.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimi Hendrix kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.