29 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 29 Novemba ni siku ya 333 ya mwaka (ya 334 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 32.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 968 - Kazan, mfalme mkuu wa Japani (984-986)
- 1874 - Antonio Egas Moniz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 1915 - Billy Strayhorn, mwanamuziki wa Marekani
- 1930 - David Goldblatt, mpigapicha wa Afrika Kusini
- 1979 - Game, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1577 - Mtakatifu Cuthbert Mayne, padri mfiadini kutoka Uingereza
- 1268 - Papa Klementi IV
- 1742 - Mtakatifu Fransisko Antoni Fasani, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakonventuali kutoka Italia
- 1924 - Giacomo Puccini, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 2008 - Jørn Utzon, msanifu majengo kutoka Denmark
- 2014 - Mark Strand, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Saturnini wa Karthago, Saturnini wa Toulouse, Filomeno wa Ankara, Iluminata wa Todi, Yakobo wa Sarug, Radbodo wa Utrecht, Fransisko Antoni Fasani n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |