5 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Novemba ni siku ya 309 ya mwaka (ya 310 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 56.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1715 - Mtakatifu Felix wa Nicosia, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Sicilia (Italia)
- 1837 - Mtakatifu Arnold Janssen, padre Mkatoliki kutoka Ujerumani
- 1854 - Paul Sabatier, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912
- 1943 - Sam Shepard, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1979
- 1948 - William Phillips, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1930 - Christiaan Eijkman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1929
- 1944 - Alexis Carrel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1912
- 1975 - Edward Tatum, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958
- 2000 - Bibi Titi Mohammed, mwanasiasa wa Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Donini wa Kaisarea, Theotimo, Filotheo na wenzao, Fibisi wa Trier, Dominiko Mau, Gwido Maria Conforti n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |