10 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Novemba ni siku ya 314 ya mwaka (ya 315 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 51.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1483 - Martin Luther, mwanateolojia kutoka Ujerumani
- 1893 - John P. Marquand, mwandishi kutoka Marekani
- 1913 - Karl Shapiro, mshairi kutoka Marekani
- 1918 - Ernst Otto Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 1956 - Sinbad, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1971 - John Roberts, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1977 - Brittany Murphy, mwigizaji na mwimbaji kutoka Marekani
- 1986 - Samuel Wanjiru, mwanariadha kutoka Kenya
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 461 - Mtakatifu Papa Leo I, mwalimu wa Kanisa
- 1241 - Papa Celestino IV
- 1549 - Papa Paulo III
- 1891 - Arthur Rimbaud, mshairi kutoka Ufaransa
- 1938 - Kemal Atatürk, Rais wa kwanza wa Uturuki
- 1997 - Tommy Tedesco, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2007 - Norman Mailer, mwandishi kutoka Marekani
- 2008 - Miriam Makeba, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Leo I, Demetriani, Oreste wa Tiana, Probo wa Ravenna, Narsete na Yosefu, Yusto wa Kantaberi, Andrea Avellino n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |