Papa Celestino IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Selestini IV.

Papa Celestino IV (alifariki 10 Novemba 1241) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25/28 Oktoba 1241 hadi kifo chake[1]. Alitokea Milano, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Goffredo da Castiglione. Alikuwa mpwa wa Papa Urban III.

Alimfuata Papa Gregori IX akafuatwa na Papa Inosenti IV.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.