Papa Yohane XIII
Jump to navigation
Jump to search
Papa Yohane XIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Oktoba 965 hadi kifo chake tarehe 6 Septemba 972.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yohane Crescenzi.
Alimfuata Papa Leo VIII akafuatwa na Papa Benedikto VI.
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |