Papa Theodor I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Theodori I)
Jump to navigation Jump to search
Papa Theodori I.

Papa Theodor I alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Novemba 642 hadi kifo chake tarehe 14 Mei 649.

Alimfuata Papa Yohane IV akafuatwa na Papa Martin I.

Mzaliwa wa Yerusalemu (Israeli), alikimbilia Roma Waislamu walipoteka Nchi Takatifu.

Alipinga uzushi wa waliokanusha Yesu kuwa na utashi wa kibinadamu.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 18 Mei.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Theodor I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.