Papa Yohane IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Yohane IV.

Papa Yohane IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Desemba, 640 hadi kifo chake tarehe 12 Oktoba, 642. Jina la baba yake lilikuwa Venantius.

Alimfuata Papa Severino akafuatwa na Papa Theodori I.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Sereno Detoni, Giovanni IV. Papa dalmata, Libreria Editrice Vaticana, 2006 ISBN 978-88-209-7889-1
  • Luciano Rota, I Papi Caio e Giovanni IV, in Istria e Dalmazia. Uomini e tempi, II, Dalmazia, Udine, Del Bianco 1992

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.