Papa Paulo I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Paulo I.

Papa Paulo I alikuwa papa kuanzia 29 Mei 757 hadi kifo chake tarehe 28 Juni 767.

Alimfuata Papa Stefano II ambaye alikuwa kaka yake, akafuatwa na Papa Stefano III.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Paulo I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.