Papa Liberius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Liberius.

Papa Liberius alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Mei 352 hadi kifo chake tarehe 24 Septemba 366[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Julius I akafuatwa na Papa Damaso I.

Alidhulumiwa na kaisari Konstans II, mtetezi wa Uario.

Liberius ni Papa wa kwanza ambaye haheshimiwi na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Hata hivyo Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki wanampa heshima hiyo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Agosti[2] au nyingine[3].

Maoni chanya ya Mapapa juu yake[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Liberius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.