Papa Benedikto XII
Jump to navigation
Jump to search
Papa Benedikto XII. O.Cist. (takriban miaka ya 1280 – 25 Aprili 1342) alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Desemba 1334 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Fournier.
Alimfuata Papa Yohane XXII akafuatwa na Papa Klementi VI.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |