Papa Marinus II
Jump to navigation
Jump to search
Papa Marinus II alikuwa papa kuanzia 30 Oktoba, 942 hadi kifo chake mnamo Mei, 946. Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Stefano VIII akafuatwa na Papa Agapeto II.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Marinus II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |