Papa Gregori VIII
Jump to navigation
Jump to search
Papa Gregori VIII (takriban 1100 – 17 Desemba 1187) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Oktoba 1187 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Albert de Mora.
Alimfuata Papa Urbano III akafuatwa na Papa Klementi III.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |