Papa Symmachus
Jump to navigation
Jump to search

Mozaiki ya Papa Simako.
Papa Symmachus alikuwa papa kuanzia 22 Novemba 498 hadi kifo chake tarehe 19 Julai 514. Alimfuata Papa Anastasio II akafuatwa na Papa Hormisdas.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Symmachus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |