Papa Pius IX

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mwenye heri Pius IX.

Papa Pius IX (13 Mei 17927 Februari 1878) alikuwa papa kuanzia tarehe 16 Juni 1846 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Maria Mastai-Ferretti.

Alimfuata Papa Gregori XVI akafuatwa na Papa Leo XIII.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 3 Septemba 2000. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.