Karama ya kutodanganyika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karama ya kutodanganyika (kwa Kiingereza: "infallibility", kutoka Kilatini "infallibilitas") ni ile ambayo Wakristo wa madhehebu mbalimbali, hasa Wakatoliki na Waorthodoksi, wanasadiki ilishirikishwa na Yesu kwa Kanisa lake ili liweze kuongoza watu kwenye ukweli wote chini ya Roho Mtakatifu[1].

Kuhusu nani, katika Kanisa, na namna gani anatumia karama hiyo[2], misimamo ni tofauti, kwa mfano mitaguso ya kiekumene[3].

Katika Kanisa Katoliki[hariri | hariri chanzo]

Papa Pius IX (18461878), ambaye chini yake dogma kuhusu karama a kutodanganyika ya Papa ilitangazwa na Mtaguso wa kwanza wa Vatikano (1869-1870)[4].

Wakatoliki[5][6][7] wanasadiki mhusika mkuu ni mwandamizi wa Mtume Petro, yaani Papa wa Roma, kama mkuu wa kundi la maaskofu[8], anapofundisha rasmi ("ex cathedra"[9]) kwa niaba ya maaskofu wote.[10] kwamba fundisho fulani ni dogma iliyofunuliwa na Mungu, hivyo lazima isadikiwe na waumini wote[11][12]. Bila shaka, jambo hilo ni wazi zaidi dogma ikitangazwa na Mtaguso Mkuu pamoja na Papa.

Wakatoliki wakishika bango mbele ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa mwaka 2008.

Kwa vyovyote, dogma hiyo haihusu yale yote yanayosemwa na Papa, wala haihusu mwenendo wake, kama kwamba karama hiyo ingemuepusha na dhambi.

Imani hiyo imestawi katika historia ya Kanisa kuanzia maneno ya Yesu kwa Mtume Petro, hasa katika Injili ya Mathayo 16:19

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. "Catechism of the Catholic Church - The Church, Mother and Teacher §2035". Vatican.va. Iliwekwa mnamo 2016-12-21.
 2. "Catechism of the Catholic Church – The Church – People of God, Body of Christ, Temple of the Holy Spirit". Vatican.va. Iliwekwa mnamo 2016-12-21. It is in this sense that discernment of charisms is always necessary. No charism is exempt from being referred and submitted to the Church's shepherds. "Their office [is] not indeed to extinguish the Spirit, but to test all things and hold fast to what is good," (LG 12; cf. 30; 1 Thess 5:12, 19–21; John Paul II, Christifideles Laici, 24.) so that all the diverse and complementary charisms work together "for the common good." (1 Cor 12:7.)
 3. See, e.g. Lutheran-Orthodox Joint Commission, Seventh Meeting, The Ecumenical Councils, Common Statement, 1993, available at http://www.helsinki.fi/~risaarin/lutortjointtext.html#ecum ("We agree on the doctrine of God, the Holy Trinity, as formulated by the Ecumenical Councils of Nicaea and Constantinople and on the doctrine of the person of Christ as formulated by the first four Ecumenical Councils.").
 4. Encyclopedia of Catholicism by Frank K. Flinn, J. Gordon Melton 207 ISBN 0-8160-5455-X p. 267
 5. "CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: General Councils". www.newadvent.org. Iliwekwa mnamo 2023-01-01.
 6. Washburn, Christian D. (2010). "St. Robert Bellarmine on the Infallibility of General Councils of the Church". Annuarium Historiae Conciliorum. 42 (1): 171. ISSN 0003-5157.
 7. "Philip Schaff: NPNF2-14. The Seven Ecumenical Councils - Christian Classics Ethereal Library". www.ccel.org. Iliwekwa mnamo 2023-01-01.
 8. Erwin Fahlbusch et al. The encyclopedia of Christianity Eradman Books ISBN 0-8028-2416-1
 9. Wilhelm, Joseph and Thomas Scannell. Manual of Catholic Theology. Volume 1, Part 1. London: Kegan Paul, Trench, Trübner & Co. Ltd. 1906. pp. 94–100
 10. "Catechism of the Catholic Church - Christ's Faithful - Hierarchy, Laity, Consecrated Life". Vatican.va. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Septemba 2010. Iliwekwa mnamo 2016-12-21.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
 11. "Theological Studies – A journal of academic theology" (PDF). Ts.mu.edu. 2016-11-30. Iliwekwa mnamo 2016-12-22.
 12. Fr. Christopher Phillips (2010-06-16). "Exploring Doctrine: Papal Infallibility – The Anglo-Catholic". Theanglocatholic.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Desemba 2016. Iliwekwa mnamo 2016-12-22.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karama ya kutodanganyika kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.