Mwandamizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwandamizi (kutoka kitenzi kuandama) ni afisa ambaye ana cheo cha juu katika ngazi fulani za utumishi, hasa wa serikali, au anayefuatia katika ngazi za uongozi na amayejiandaa kushika cheo hicho, k.mf. askofu mwandamizi.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwandamizi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.