Wahusika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mhusika)

Wahusika katika fasihi simulizi ni viumbe hai au wasiokuwa na uhai, wanaochorwa na msanii wa kazi ya fasihi kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa hadhira.

Mfano wa wahusika hao ni binadamu, wanyama, miti, mawe, mapango n.k.

Aghalabu wahusika wa fasihi simulizi ni wengi kwani wanahusisha viumbe wote, wenye uhai na wasiokuwa na uhai.

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wahusika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.