1869
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| ►
◄◄ |
◄ |
1865 |
1866 |
1867 |
1868 |
1869
| 1870
| 1871
| 1872
| 1873
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1869 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 17 Novemba - kunfunguliwa kwa Mfereji wa Suez
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 14 Februari - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 27 Juni - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 27 Juni - Hans Spemann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935)
- 29 Julai - Booth Tarkington, mwandishi kutoka Marekani
- 30 Julai - Mtakatifu Kristofa Magallanes, padri na mfiadini wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko
- 7 Agosti - Yosefu Maria Gambaro, padre na mmisionari mfiadini nchini Uchina
- 3 Septemba - Fritz Pregl (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1923)
- 17 Septemba - Christian Lous Lange, mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 2 Oktoba - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na kiongozi wa kisiasa nchini Uhindi
- 16 Oktoba - Claude H. Van Tyne, mwanahistoria kutoka Marekani
- 22 Novemba - Andre Gide (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1947)
- 30 Novemba - Nils Dalen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912)
- 22 Desemba - Edwin Arlington Robinson, mshairi kutoka Marekani
- 31 Desemba - Henri Matisse, mchoraji kutoka Ufaransa
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 8 Machi - Hector Berlioz, mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
- 8 Oktoba - Franklin Pierce, Rais wa Marekani (1853-1857)
