Papa Anacletus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Anacletus

Papa Anacletus (au Kleti) alikuwa Papa kuanzia takriban 80 hadi kifo chake takriban 92[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Linus akafuatwa na Papa Klementi I.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Aprili[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Donald Attwater and Catherine Rachel John, The Penguin Dictionary of Saints, 3rd edition, New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-140-51312-4.
  • Louise Ropes Loomis, The Book of Popes (Liber Pontificalis). Merchantville, NJ: Evolution Publishing. ISBN 1-889758-86-8 (Reprint of the 1916 edition. (Ends with Pope Pelagius, who reigned from 579 until 590. English translation with scholarly footnotes, and illustrations).
  • Richard P. McBrien, Lives of the Popes, (Harper, 2000). ISBN 0-06-065304-3
  •  This article incorporates text from a publication now in the public domainHerbermann, Charles, ed. (1913). "Pope St. Anacletus". Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Anacletus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.