Papa Valentino
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Valentine)
Papa Valentino alikuwa Papa kwa wiki chache tu kuanzia mwezi Agosti 827 hadi kifo chake mnamo Septemba 827[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Alimfuata Papa Eugenio II akafuatwa na Papa Gregori IV.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Valentino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |