Papa Eugenio II
Mandhari
Papa Eugenio II alikuwa Papa kuanzia Februari/Mei 824 hadi kifo chake mnamo Agosti 827[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Alimfuata Papa Paskali I akafuatwa na Papa Valentino.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |