Papa Innocent II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti II)
Jump to navigation Jump to search
Papa Inosenti II.

Papa Innocent II alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Februari 1130 hadi kifo chake tarehe 24 Septemba 1143.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gregorio Papareschi.

Alimfuata Papa Honori II akafuatwa na Papa Selestini II.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.